This blog is all about gospel news , social and entertainment issues
karibu kwenye ulimwengu huu.
Wednesday, July 4, 2012
Mwl Christopher Mwakasege mnamo tarehe 17-19 August 2012 anatarajia
kuwa mnenaji katika Summer Conference 2012 itakayoyanyika nchini
UINGEREZA jimbo la MILTON KEYNES,Kongamano hili limeandaliwa na umoja
wa watanzania wakristo waishio katika bala la Ulaya(CITE).
Kwa mujibu wa mmoja wa viongozi wa CITE Mch Emmanuel Chatawe, CITE SUMMER CONFERENCE 2012 itafanyika katika ukumbi wa
Oakgrove Leisure centre Brickhill Street Middleton Milton Keynes MK10 9JQ 17/08/2012 Time 2:00pm-9pm 18/08/2012 Time 10am-9pm 19/08/2012 Time 11am-7am
Kwa mawasiliano zaidi
Rev. Chatawe 07944632826 , Pas. Kimani 07522050673, Sis Jane 07522302935 au Sis. Flora 07916160641
Chakula cha mchana kitatolewa Jumamosi na Jumapili kwa wote watakaohitaji kwa Paund 3(£3.00).Wote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment