Sunday, May 15, 2011

MULENGA THE HERo: msanii wa mziki wa injili papaa mawaa toka Arusha ...

MULENGA THE HERo: msanii wa mziki wa injili papaa mawaa toka Arusha ...: "msanii wa mziki wa injili papaa mawaa toka Arusha Tz ameweka wazi kuwa ameanza kufanya video ya nyimbo zake za albam yake ya pili ijulikanay..."
msanii wa mziki wa injili papaa mawaa toka Arusha Tz ameweka wazi kuwa ameanza kufanya video ya nyimbo zake za albam yake ya pili ijulikanayo kama ngome imara .........hivi karibuni alisema wameanza kufanya baadbi ya nyimbo kama rafiki ambao utauona kupitia you tube pamoja na website nyingi tu za hapa bongo kabla ya albam kuingia sokoni na kuziona kideoni

Tuesday, May 10, 2011

MULENGA THE HERo: Rock man Pokea Kamata anayefanya mziki wa kijamii ...

MULENGA THE HERo: Rock man Pokea Kamata anayefanya mziki wa kijamii ...: "Rock man Pokea Kamata anayefanya mziki wa kijamii pamoja na gosper kwa njia ya rock amedondoka nakusema wameanza kufanya video ya wimbo wake..."
Rock man Pokea Kamata anayefanya mziki wa kijamii pamoja na gosper kwa njia ya rock amedondoka nakusema wameanza kufanya video ya wimbo wake mpya wa muda ambao amerekodi katika studio za habari maalum akipiga nasi stori rock man Pokea amesema mashabiki wake kaeni tayari kiona video hiyo hivi karibuni lakini hata hivyo hakuweka wazi anafanya video hiyo na kampuni gani so stay turned kuikodolea video hiyo humuhumu kwenye blog ya kijanja............