Sunday, May 15, 2011

msanii wa mziki wa injili papaa mawaa toka Arusha Tz ameweka wazi kuwa ameanza kufanya video ya nyimbo zake za albam yake ya pili ijulikanayo kama ngome imara .........hivi karibuni alisema wameanza kufanya baadbi ya nyimbo kama rafiki ambao utauona kupitia you tube pamoja na website nyingi tu za hapa bongo kabla ya albam kuingia sokoni na kuziona kideoni

No comments:

Post a Comment