Rock man Pokea Kamata anayefanya mziki wa kijamii pamoja na gosper kwa njia ya rock amedondoka nakusema wameanza kufanya video ya wimbo wake mpya wa muda ambao amerekodi katika studio za habari maalum akipiga nasi stori rock man Pokea amesema mashabiki wake kaeni tayari kiona video hiyo hivi karibuni lakini hata hivyo hakuweka wazi anafanya video hiyo na kampuni gani so stay turned kuikodolea video hiyo humuhumu kwenye blog ya kijanja............
pamoja sn kaka wish u all the best
ReplyDeletehiyo video vipi tayari au bado mbona kimya
ReplyDelete