Msanii nguri wa filamu hapa Bongo ,Steve kanumba aka the Great ,amelonga kuwa baada ya kupfanya filamu na Ramsey Noah wa nigeria ni hatua nyingine kubwa ya kuendelea kutangaza kazi zake kimataifa zaidi na pia kuitangaza nchi yetu ya Tz ,kanumba amesema kwa sasa anafikiria kufanya Filamu na super starz wa nje ya nchii
No comments:
Post a Comment