This blog is all about gospel news , social and entertainment issues karibu kwenye ulimwengu huu.
Saturday, June 16, 2012
LIVING GOSPER MINISTRY: Breaking News Tamasha la Injili La Dar Live Laota ...
LIVING GOSPER MINISTRY: Breaking News Tamasha la Injili La Dar Live Laota ...: Breaking News Tamasha la Injili La Dar Live Laota Mbawa Habari za Uhakika Blog hii iliyozipata punde baada ya kuwasiliana na Waandaaji na Wa...
Breaking News Tamasha la Injili La Dar Live Laota Mbawa
Habari za Uhakika Blog hii iliyozipata punde baada ya kuwasiliana na Waandaaji na Washiriki wa Tamasha hilo wamethibitisha kuwa Tamasha hilo "imeota mbawa" halipo tena siku ya Jumapili Mpaka wakati litakapotangazwa tena.
Blog ilipotaka kufahamu ni kwanini Tamasha hilo lilo limehairishwa dakika za mwishoni, wahusika hawakuwa tayari kuliweka bayana zaidi ya kueleza kuwa "taratibu zilikuwa hazijakamilika"
Tamasha hili lilozua mjadala siku ya leo katika Mitandao Ya Kijamii ambayo blog hii imetupia kwenye Blog lilikuwa likijumuisha wanamuziki Christina Shusho, Upendo Nkone, Martha Mwaipaja, Faraja, Sarah Mvungi na Kabula John limesogezwa mbele mpaka taratibu za ndani zitakapokuwa zimekamilika.

Saturday, September 17, 2011
BONGO FILM DATA BASE: UMUHIMU WA MWONGOZAJI PICHA (MP)/DIRECTOR OF PHOT...
BONGO FILM DATA BASE: UMUHIMU WA MWONGOZAJI PICHA (MP)/DIRECTOR OF PHOT...: KIBONGO TUMEKUWA TUKIONA NAMNA KAZI ZETU ZIKIFANYWA KILA KUNAPO KUCHA ,UNAKUTA MTUNZI WA HADITHI , MWANDISHI MSWADA(script),DIRECTOR,EDI...
Subscribe to:
Posts (Atom)